Mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA Mheshimiwa Edward Lowassa leo hii achukua fomu ya kugombea urais.
Kundi kubwa la maandamano ya wanachama na wakereketwa wake wamsindikiza kwenye ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi
Maandamano hayo yalianzia katika makao makuu ya Chadema
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni